𝐂𝐨𝐮𝐧𝐭𝐢𝐧𝐠 40 𝐭𝐨 5𝟎 𝐢𝐧 𝐒𝐰𝐚𝐡𝐢𝐥𝐢
1 – Moja
2 – Mbili
3 – Tatu
4 – Nne
5 – Tano
6 – Sita
7 – Saba
8 – Nane
9 – Tisa
10 – Kumi
11 - Kumi na moja
12 - Kumi na mbili
1 3- Kumi na tatu
14 - Kumi na nne
15 - Kumi na tano
16 - Kumi na sita
17 - Kumi na saba
18 - Kumi na nane
19 - Kumi na tisa
20 – Ishirini
21 - Ishirini na moja
22 - Ishirini na mbili
23 - Ishirini na tatu
24 - Ishirini na nne
25 - Ishirini na tano
26 - Ishirini na sita
27 - Ishirini na saba
28 - Ishirini na nane
29 - Ishirini na tisa
30 - Thelathini
30–Thelathini
31-Thelathini na moja
32-Thelathini na mbili
33-Thelathini na tatu
34-Thelathini na nne
35-Thelathini na tano
36-Thelathini na sita
37-Thelathinii na saba
38-Thelathini na nane
39-Thelathini na tisa
40- Arobaini
41- Arobaini na moja
42- Arobaini na mbili
43- Arobaini na tatu
44- Arobaini na nne
45- Arobaini na tano
46- Arobaini na sita
47- Arobaini na saba
48- Arobaini na nane
49- Arobaini na tisa
50- Hamsini
How Do You Count 40 to 50 in Your Native African Language?
Africa Team